[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Ongera sana mkuu kwa kutoa ya Moyoni nafikiri kwa sasa uko huru?acha na mimi nifunguke kwani sh ngapi zero? unajua nini Shunie yaani kila unaponigongea likes tu kwenye comments zangu roho yangu kwaaaatu kamoyo kanavodunda dunda sasa duuuh!!! utadhani kitenesi sakafuni mnyamwezi nasisimka kinoma noma huwezi amini sina lingine la kusema zaidi ya ""I LOVE YOU"" shuni[emoji177] [emoji177] [emoji177] [emoji177]. Ila punguza kupenda mihela sana wengine tunachembe chembe za kipare wabahili kinyama[emoji3] [emoji3] [emoji3] cc: NAHUJA.
Safi sanaKabisa mkuu
Exactly[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Ongera sana mkuu kwa kutoa ya Moyoni nafikiri kwa sasa uko huru?
Chit chat imepoa sana siki hizi hakuna kapo mpya zinazozaliwa
Yote hii kasababisha yule rais wa Russia
Ungeenda pm na wewe. Hapa anaweza hata asioneNaona mpaka sasa sijamuona kuja kutia neno lake hapa nafikiri bado ananifikiria kwa Undani zaidi
Tatizo ni moyo mamy kila nikiomba nafasi ya kuja PM kwako unanibania ulitaka nikasemehe wapi mie hisia zangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallaha zero umejua kunifurahisha mwenzio...khaa!!!ndio nini kunisuprise hivi mwenzio??
[emoji23][emoji23]Tatizo ni moyo mamy kila nikiomba nafasi ya kuja PM kwako unanibania ulitaka nikasemehe wapi mie hisia zangu?