Nakupenda Tanga, sitakuacha daima

INFOT 23

Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
18
Reaction score
12
Ninaposema Tanga, simaanishi Korogwe au Handeni, ninamaanisha Tanga haswaaa Tanga walipo majini watu wa kike, kiukweli Tanga imebarikiwa sana, kama unabisha we bisha tu.

Tukianza na lafudhi, kiukweli Mungu kawajaalia wanaongea utadhani wameshushwa kutoka lafedheuni.

Pili, maumbo yao, mmmmmh! Hapa sasa sisemi kitu, shahidi mwenye wivu miss chaga, kisa sisifii Kilimanjaro.

Kitandani sasa, aisee ukiwa nae bed huwezi kumsahau maisha yako yote, ole wako umchanganye na wanawake wengine umekwisha.

Tanga raha sana.
 
mkuu hujapata mnyamwezi ungesahau yooote yanayokusibu wakoviziri kiukwelii
 
Naona umeonjeshwa kale kakitu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Zamani walikua wakitembea na mafuta ya mgando nyuma ya sikio... [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…