nakupenda, unae,nipe nafasi

Mwambie una ukichaa na ukikupanda basi aliekuwepo karibu anamalizia kwa kuitwa marehemu, kwa kusisitiza tu pia mwambie wamekupeleka mpaka India lakini tiba imeshindikana. Halaf malizia kwa kumwambia, hata kikinipanda na ikatokea bahati mbaya nikakuuwa honey ujue nakupenda sana.

kes solved.
 
Kimbia faster acha kusikilizia, bom hilo m2 wangu licje kukulipukia alafu baadaye majuto nalog off.
 
Lengo lake sio kuolewa kwani nshamweleza nina gf amesema yuko tayari kuwa na mimi hata kama ninae.

hapo kazi imekwisha. Mwambie unampenda sana gf na haupo tayari kumsaliti.
 
hivi kuna mwanaume mnywaji ambaye hajawahi kupenda baa medi???
hakuna mnywaji anayeweza kukwepa ili sio lazma upende au kutaman wote ila atleast mmoja lazma akulenge,na huyu mshakj kwa maelezo yake inaonekana alishammega na anashindwa kusepa
 

Usimkwepe ndo mwanzo wa kukukopesha vinywaji hapo bar
 
naamini huna sababu ya kufikiria sana kama mtu unaamini humhitaji wewe mwite mkalishe chini na umweleze ila pia ni vyema kutokuwa na mawasiliano nae ya karibu maana mkiwa karibu kuna mambo lazima yatakuvuta kwake
 

yaelekea mpwa weye sitaki nataka; biya umnywee nanihinooooooo umnyime unaona uko fea kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…