[emoji177]Sawa kakusikiaa
hapana mkuu,sina.ningekuwa nayo ningekupa....Mkuu naomba namba yake kama unayo
Hahahahahahaha.................kaka vip hapo mbalizi road mchujo unapatikana..?..hebu nikumbushe hiv huu ndo msimu wa ulanzi.........?Kati ya yote ulopita sijaona la kunifanya nisikupende
Mm si tajiri ila ninauwezo wa kukupa furaha na amani
Na zawadi yangu kubwa kwako in penzi la dhati na nakuahidi sitafanya jambo la kukuhumiza,Fanya namna yoyote tuwasiliane ukiweza njoo mbeya mabatini stendi
Mim au?[emoji177]
I love you baby
Upo karibu sana ila Mimi situmii,Ndio ni msimu coz nawaona wanalewa na magari yanauleta,nitafutie wema plsHahahahahahaha.................kaka vip hapo mbalizi road mchujo unapatikana..?..hebu nikumbushe hiv huu ndo msimu wa ulanzi.........?
hahaha mkuu mbona umeshtuka kupendwaaMim au?
KawaidaDu! Sasa wabongo wamejichokea wanamezaa mbomu hadharani
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app