Nakupenda....

ila ingekuwa fleeesh! Kama ungeanza kusema wewe kwa kilugha chenu ila mwambie NIKUGANG
 
Mzee mie nina mchanganyiko wa makabila kama 10 hivi mengine hayaandikiki!
 
Mbona hii imekaa kama vile unamwimbia mtu kwamba...nakutongoza?

Hivi kwa kichina itatamkwa na kuandikwaje hapa?

Kwa kimasai tunasema..ngongongo na ngale!!!

我爱你=wo ai ni~
 
NGUGANILE FIJO (Kinyakyusa)
 
Hash nadhani hii ni indirect way ya kujua kabila na ID za watu... 🙂 anyway am sure yangu itakuwa among the above ambazo watu wametaja
 
hebu sogea hapa nikunong'oneze kuwa nakupenda

hahaha lol
mie tayari niko hapo my dear..
sema tu nikusikilize na mie nta kwambia maneno matamu hahah lol

nimepata hii picha yako dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…