Nakupenda....

hahahhaahahaha lol
aise umeongea ukweli hapo..
umenichekesha sana dear............
hapo si tukisema nakupenda kwa kabila letu
kila mtu atakimbia hii thread hahahahha lol

Mmmhh tutaharibu thread ya watu.

Ila mie thread za siku hizi zinanichekesha kweli zinachakachuliwa mapemaaa hata mtu hajapata majibu
 
Mmmhh tutaharibu thread ya watu.

Ila mie thread za siku hizi zinanichekesha kweli zinachakachuliwa mapemaaa hata mtu hajapata majibu

hahahahahahah lol
duuhh unakumbuka tulivyo ipeleka ile ia Infi mpaka poster 4857
 
mbona hii imekaa kama vile unamwimbia mtu kwamba...nakutongoza?

hivi kwa kichina itatamkwa na kuandikwaje hapa?

Kwa kimasai tunasema..ngongongo na ngale!!!

nakupenda kwa kichina: 我爱你 (wo ai ni)
 
Bahati mbaya mpaka sasa sijapata lugha ya huyu mtu....l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…