Kwa wasomaji wa Biblia wanaufahamu mstari kwenye Biblia unaosema "kwa maana jinsi hii mungu aliupenda Ulimwengu"
Wataalamu wa Lugha watakubaliana na mimi kwamba maneno au majina ya vitu hayahusiani na vitu vyenyewe. Kwa mfano Kiti, mti au nyumba si lazima maana iwe ile ile kwa lugha zote duniani, na ndiyo maana majina mengine ya Wajapani kwetu sisi ni matusi!!Kwa mintaraafu hiyo wewe ukisikia mtu anakwambia "NAKUPENDA" tafsiri yako kwa neno hilo huwa nini, yaani kwako kupendwa ni kupi? Ili mtu ujue anakupenda ni mpaka afanye nini ili ujiridhishe kwamba anakupenda?
NI SWALI TU WAPENDWA!!
Lovve is an emotional thing which must be expressed, there are many languages of love.
1. To some, love means material provision; yaan huwezi kumwambia unampenda huku hauna kitu cha kumpa, either money or any tangible thing
2. Kwa wengine Love is all about sweat words, love words, mf honey, mpenzi, sweatlove , I love you I adore you, i admire you, you are special, sweat etc, watu hao hata kama ungewapa mali au utajili wa hali ya juu bila maneno hayo watasema huwapendi
3. Kwa wengine upendo means physical availability; mpe pesa, mpe maneno matamu nk kama huna muda naye atasema humpendi
4. Kwa wengine upendo ni ile physical touch; hatakubali unampenda kama hautamshika mkono na kutembea naye au kukaa naye
My take; kila mtu ajifunze lugha ya mtu anayetaka kumpenda ili wasitofautiane