Vunjavunja
Member
- May 18, 2012
- 92
- 11
Tanganyika ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyojipatatia uhuru wake mwanzoni mwa miaka ya 1960, kwa sababu ambozo hazijulikani taifa hili lilipotea tangu mwaka 1964, shukuruni zangu za pekee zimfikie mwenyekiti wa tume ya katiba kwa kuliona hili na kuwepo kwa umuhumu wa kuwa na taifa lijulikanalo kama Tanganyika bila kuwepo kwa Tanganyika ukombozi wa raia utakuwa ni mgumu hapa kwetu.