Hoja yangu nakusanya pesa za forex royale app lakini nataka nipate hizo ela kwenye ac yangu.
(1) naweza kupata?(2)niliweza kujiandikisha kwenye app tigo pesa duniani ili izo pesa ninazokusanya nipate nilipowaruhusu kwenye app ya tigo nikasangaa nakatwa 4000 ela hatumwi. GREAT THINKER!! Wekeni ujuzi apa.
Mkuu jf ya sasa haina msaada wwt, huku wamejaa snitchies, jobless wakamalia, wezi, matapeli na waliojikatia tamaa... Hutoambulia chochote nakushauri kwa kesi yako nenda walau x ama nairaland huko wapo wapo watu