Nakusanya ushahidi kuishitaki sekretarieti yote ya yanga

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,446
Reaction score
988
Ndugu zangu wapenda Mpira wanachama hai Hasa wa Yanga sina maneno mengi ya kuwachosha niko hapa kuomba tushirikiane lengo liwazi ninahitaji kuwapeleka mahakamani viongozi wote wa Yanga kwa kujimegea timu kama mali Yao binafsi iwapo kweli nikibaini makubaliano ya kujikodisha timu kwa miaka kumi kweli yamefikiwa.

1. Wamekubaliana bila kuhusisha wanachama nchi nzima kujikodisha time kihasara hasara bila kujali wamiliki halali wa nembo na timu kwa ujumla.

2. Nimesikia wakisema eti timu ina deni linalifikia bln 10 kama kweli limefikaje deni kubwa hivyo wakati wote tunajua manji alikuja kama mfadhiri na sio mkopeshaji kama sio ufisadi.

3. Iwapo kweli wanajikodisha timu wataingizaje faida iwapo ndani ya uongozi wao wameshindwa kuleta faida wala uwanja kujengwa hakuna ila wanatangaza madeni tuu.

4. Mwisho ikiwa uongozi ndio wakodishaji nani atasimamia mapato ya timu yetu ili kuhakikisha huo mgawo wanaoudai watautoa 25% kwa 75% ni kweli utapatikana kama sio watatutangazia hasara mara kumi zaidi ili waifirisi timu jumla? Humuoni hapo kuna maslahi binafsi halo.



Nb: mengine mnaweza kuongezea au kuboresha hoja hizi ili kujenga maendeleo ya mpira Tanzania tusifanye utapeli wa simbapoli kwa huruma ya kushiba (matokeo) kwa muda mfupi tutakuja kulia muda umekwenda.
 
We unahisi baada ya Yanga kukodishwa itapiga hatua kutoka hapa ilipo kwenda mbele au kurudi nyuma?
 
Mkuu, uko tayari kufukuzwa uanachama? Maana Mwenyekiti wenu, ukitofautiana nae kidogo, haoni tabu kuitisha mkutano mkuu wa wanachama hata kesho.. Na kusema hana imani na wewe, hivyo wanachama wakutimue.. Na wanachama bila kuhoji kwann hana imani na wewe.. Wanakutimua kwa kauli moja.
 
Reactions: MTK
Moja tu. Mkutano wa dharura ulikuwa wa wananchama wote popote walipo Tanzania. Kwenye chaguzi karibia zote, wanachama wa Dar na labda Morogoro ndiyo huweza kuhudhuria na kufanya maamuzi kwa niaba ya wote.
 
We unahisi baada ya Yanga kukodishwa itapiga hatua kutoka hapa ilipo kwenda mbele au kurudi nyuma?
Yanga itarudi nyuma miaka 50 hakuna mfanyabiashara mkweli linapokuja suala la faida kwenye biashara sasa manji atageuka mtetezi wa yanga??? Nipeni jibu hapo
 
Reactions: MTK
Tutakutana mahakamani tuu kama hakuna namna
 


Mkuu umeongea point. Ila hapa mm nmekuwa nikijiulza maswali mengi. Je wanachama hawaoni shda hapa. Je huyu Manji anaona watu wote hawaelew?
 
Hebu tuwekee kadi yako ya uanachama hapa,ili tuone kama kweli wewe ni mwanachama halali.
 
Tuwekee risiti za malipo ya ada ya uanachama wa Yanga ya kila mwezi ili tuanze kukujibu
 
Tuzijibu hoja hizo badala ya kukimbilia ushahidi ili kunivuruga kwa sasa!
 
Kabla sija amua kukuunga mkono, nieleze huwa una changia kiasi gani kwenye gharama za uendesaji wa timu.
Je ulishawahi kusajiri hata mchezaji mmoja kwa pesa zako?
 
Ah ah ah..kna chama fulan cha siasa naskiaga nacho kiko hiv...jokin[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakukodishwa sc [emoji196] [emoji196]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…