Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii December. Usishindane kutumia pesa na watu. Wakikualika nenda. Kanywe kale. Tunza hiyo pesa. Thamani yake utaiona January.
Mimi huwa January naokota mmoja mmoja nachinja... Hata sikimbizi. Naacha mlango tu wa home wazi.. kuku wanaingia ndani kufuata mahindi. Nakamata nachinja nasubiri mwingine.... USIMALIZE PESA YOTE DECEMBER WEWE BWEGE. HALAFU JANUARY DEMU WAKO AJE KWANGU KULAZIMISHA NIMLAMBE. SITAKI HUWA NACHOKA SANA.