Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nipo hapa nawasubiria waje wenyewe na shida zaoHii December. Usishindane kutumia pesa na watu. Wakikualika nenda. Kanywe kale. Tunza hiyo pesa. Thamani yake utaiona January.
Mimi huwa January naokota mmoja mmoja nachinja... Hata sikimbizi. Naacha mlango tu wa home wazi.. kuku wanaingia ndani kufuata mahindi. Nakamata nachinja nasubiri mwingine.... USIMALIZE PESA YOTE DECEMBER WEWE BWEGE. HALAFU JANUARY DEMU WAKO AJE KWANGU KULAZIMISHA NIMLAMBE. SITAKI HUWA NACHOKA SANA.
View attachment 2857294
Daaa Job VeeeeryDaaa Kazi sanaaaa
Kwa kweliUmechelewa kutoa ushauri.
Hii December. Usishindane kutumia pesa na watu. Wakikualika nenda. Kanywe kale. Tunza hiyo pesa. Thamani yake utaiona January.
Mimi huwa January naokota mmoja mmoja nachinja... Hata sikimbizi. Naacha mlango tu wa home wazi.. kuku wanaingia ndani kufuata mahindi. Nakamata nachinja nasubiri mwingine.... USIMALIZE PESA YOTE DECEMBER WEWE BWEGE. HALAFU JANUARY DEMU WAKO AJE KWANGU KULAZIMISHA NIMLAMBE. SITAKI HUWA NACHOKA SANA.
View attachment 2857294
Umaana wa jambo unategemeana mtu na mtuNikajua unawekeza Kwa jambo la maana
Wahaya mnasifa za kijinga sana mkuu.Mimi bajeti zangu huwa hazibadilishwi za mwaka mzima kwahiyo ikiwa sikukuu itanikuta nimeshapiga bajeti ya kula ugali na maharage itabidi nile tu.
Kitu ambacho huwa nakifanyia update ni maombi Kwa Mungu tu, mfano mwaka Jana niliomba kuufunga mwaka na 40mil bank Ila mwaka huu naomba niifunge na mil50 .
Hivyo singo maza au pisi watakula wataendelea kula za wengine Ila sio sisi.
M nimebariki watoto ndugu kuona picha simukamazote shereheee wapiiiiHii December. Usishindane kutumia pesa na watu. Wakikualika nenda. Kanywe kale. Tunza hiyo pesa. Thamani yake utaiona January.
Mimi huwa January naokota mmoja mmoja nachinja... Hata sikimbizi. Naacha mlango tu wa home wazi.. kuku wanaingia ndani kufuata mahindi. Nakamata nachinja nasubiri mwingine.... USIMALIZE PESA YOTE DECEMBER WEWE BWEGE. HALAFU JANUARY DEMU WAKO AJE KWANGU KULAZIMISHA NIMLAMBE. SITAKI HUWA NACHOKA SANA.
View attachment 2857294
Mbona hakuna sifa hapo?W
Wahaya mnasifa za kijinga sana mkuu.