Nakushauri ndugu yangu Emmanuel Mbasha, hata wajinga huzeeka

Mwenye shida ni wewe unayemuona ni mtumishi , Wakati yeye anajiona ni msanii kama wasanii wengine

Umemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa mtu aliebise na kazi zake anaweza kuwa na muda wa kufuatilia life la watu wengine? Hizi nielement za kimasikini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa mtu aliebise na kazi zake anaweza kuwa na muda wa kufuatilia life la watu wengine? Hizi nielement za kimasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tajiri,ila kwenye hii forum ukiwa busy kufuatutilia nani kapost nini na kina mantiki au hakina.....na wewe ukaconclude kuwa anachezea muda,wewe unayefuatilia nani kafanya nini ndiyo huna chakufanya maana kitu ukiona hakina manufaa kwako huna haja ya kucomment Mkuu
 
Wabongo bwana embu acha umbea na ufuate mambo yako, nani kakwambia Mungu anaangalia mavazi?? Mungu wetu anaangalia moyo wako, katafute mkate acha umbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbasha Mtumishi wa Mungu !
 
Adam Mchomvuuuuuuuuuu..
SAFI SANAAAAAAA........
 
Kama ana akili kuna jambo atakuwa amejifunza na wangeacha mchomvu mabangi amvue utumishi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…