Shalom Mzee Nguto
Popote ulipo
Sina mengi niimeona mitandao mengi ikikuongelea kuhusu derby
Ushauri tu mzeee umeshakaa na wenzio ukataja tar ya mechi
Kaa utulie hivyohivyooo kama vile usikii sondanoo yoyotee
Yaan sindano ilipoingilia ndipo itakapotokeaaaaa
Mwenzio karia kashutama anawaza na kuwazua nakushauri na wewe endeleen kushika tama
Achana na kuongelea derby
Mmeshatoa ratiba kaa kimya mpaka yesu atakaporudi
Cc
Hatuchezi fc
Cc
Msikate tkt mechi hamna