Nakushukuru Nabi

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Habari zenu..

Kwanza pongezi ziende kwako kocha wetu nabii,mechi ya kwanza uliwasoma wapinzani ukawatandika 2 wakiwa kwao,Leo hii umeona ulinde ulicho nacho..

Nakusifu kwa kuwa bingwa wa kusoma mchezo na kuwasoma wapinzani.

Nabii unastahili pongezi za dhati kutoka kwa wana yanga.

Kilichokuwa kinatakiwa ni kutinga nusu final, hayo ya eti umeshindwaje kuwafunga nyumbani hatutaki kusikia,sisi sasa hivi tunawaza tutakutana na nani.

Huyo tutakaye kutana naye tutamfunga kwao tena tutaionyesha africa kuwa hili kombe tunalihitaji sana na yanga ndiyo imeweka record kubwa sana africa mashariki na kati.

Kuna waliojaribu kuvuka robo final wameshindwa kwa mara kadhaa mpaka wanafikia hatua ya kuwasha moto lakini wapi nimegundua MUNGU yupo na yanga sana.

Uongozi unachofanya kusaidia wenye huhitaji MUNGU alikuwa anatuandalia kitu kikubwa sana,sasa imefikia na sisi tunalipwa zile swahabu zote tulizozichuma.

Waache hao madunduka fc waloge sisi tunamuomba MUNGU tu.

Yanga ndo timu itakaya fanya makubwa africa

Tutaionyesha africa kuwa kuna timu ilikuwa inajifunza toka zamani

Yanga inawakilisha taifa vinzuri,tumecheza michuano yote hatujafungwa goli zaidi 3 sasa kuna watu washakula goli zadi ya 5.

KWELI YANGA NDO BABA WA TIMU ZOTE TANZANIA,AZAM WATAJIFUNZA KWA YANGA,PIA SIMBA INIFUNZE KWA YANGA NYIE MNAISHIA ROBO SISI TUNATINGA NUSU TENA KWA RAHA BILA HOFU YEYOTE.

HUU MWAKA NI WA YANGA TU
MANGI SHANGALI PROFESSOR
GENIOUS NIZUIE KAMA UNAWEZA,UTAKOJOA DAGAAA THUBUTU UONEEEE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…