Nakushukuru Sana Bakheresa na Azam TV kupunguza maneno ya wachambuzi

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,403
Reaction score
4,373
Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
 
Mpira bila wachambuzi haunogi bana. Zile porojo zinaleta utamu. Hawajakamilika ila wanaleta ladha kwenye soka.
 
Marefarii wangetumia tu rewind za TV za Azam kama VAR.
Ili kuboresha maamuzi Yao.

Timu ndogo zinanyimwa sana Haki dhidi ya hizo timu mbili kubwa.
Kwakuwa waamuzi wanaziogopa sana.
 
Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
Kutoa maoni Kwa kuangalia marejeo ya picha ni kosa? Unataka Watangazaji na wachambuzi wawe bendera fuata upepo? Acha ufala.
 
Ujinga upi kama mapungufu yapo ni ya kawaida. Kwani hao wachambuzi mbona wamepelekwa uwanjani.
Ujinga ni kuchambua simba na yanga daily kana kwamba hazipaswi kupoteza mechi hata kama timu nyingine zimejitahidi kusaka bao/ushindi
 
Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
Wewe utakuwa ni mwamuzi bila shaka. Maana umefurahi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom