Shossi kaka yangu mi penda wewe sana
Usiwe wa kwanza kunirudisha nilikotoka
Msinitie mdomoni kwa yaliyoishapita
Najitahidi kusahau maisha yangu yaendelee
Najua mwaweza pendana tena sana
Si lazima mnizungumze ili iwe sawa
Waweza sema tu ukaeleweka bila nitaja
Najitahidi kusahau maisha yaendelee
Chonde Chonde kaka yangu
Nina moyo sina jiwe babu
Nisaidie na niombee kuweza sahau
Najitahidi kusahau maisha yaendelee
mohhamed?????
Mvuvi anapovua, samaki kukusanyika,
Tangu bado kuzaliwa, vyote vimeandikika,
riziki imegawiwa, na ajali kadhalika,
utajiri ukipewa, usisahau sadaka,
Lazima kitakufika, kile kilicho andikwa.
Ooooohhhhh dear
Ooooohhhhh dear
Haya mwenzetu
think hard
Be careful
hehehehehe hashycool vs mohammed ...... ngija nikanunue wardi nianze kulichambua moja moja hash love me mohammed loves me wa mwisho ndio ntamfikiria mi naogopa kupigwa bun mwenzioooo...
Kama alivyotukutanisha tukajuwana
Akipenda Rahmani InshaAllah tutaowana
Yailahi Mwenyewe Subhana
Akitaka ndoa ndoa hufana
Nitawaalika ndugu na jamaa kadhalika
Asee namiss Abdallah Issa kama kuna mtu ananyimbo yake ya InshaAllah tutaoana anibandikie hapa!
Zimeandikwa mbinguni ndoa zooote na Rabana
Akipenda Rahmani InshaAllah tutaoanaaaaa
:thinking: :A S 39: :A S-confused1: :confused2:
Now more than ever we need singles forum.......
Mie mwandiko wako unaniuwa
Bora ukachume ua
Kama ulivyosema
Maana nashindwa hema
Na sijui ninachosema
Ahibak moooot ya Nilham
eti afrodenzi dear wasemaje mi sielewi elewi mambo yanavyokwenda hapa .naona vifungu fungu vya maneno eti kunanini.??
hehehehehe hashycool vs mohammed ...... ngija nikanunue wardi nianze kulichambua moja moja hash love me mohammed loves me wa mwisho ndio ntamfikiria mi naogopa kupigwa bun mwenzioooo...