Nakusubiri upite tena ewe mrembo

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Mimi ni yule kijana uliyenipita na gari lako katika njia ya kwenda mbweni kunakijengwa kambi ya jeshi. Ulinipita kama mita hamsini hivi ukasimamisha gari ukatoa kichwa nje ukaniita, nikaitika, ukaniuliza kama naenda nikakujibu ndio...
Nikaja nikapanda ndani ya gari lako ukiwa wewe pekeyako, tukaongea kidogo huku tukiburudishwa na wimbo wa Nandy unaitwa one day sijui ule.....nikafika nilipotaka kwenda nikashuka....sasa nipo hapa nakusubiri upite tena (kama utarudi)...sina lengo lolote zaidi ya kukusubiri turudi wote...namba ya gari lako nimeikariri....nakusubiri hapa....
 
Ivi na chid benz alivokutana na 2 pac,...ilikua ni kama uyu jamaa,...[emoji23]
 
Wewe jinga kweli,badala ya kuchukua namba yake ya simu eti umechukua namba ya gari!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Ulichanganyikiwa mbaka ukasahau kuomba mawasiliano, pole mzee umepishana na zali la mentali
 
[emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594]napita sasa hivi nipo kwenye foleni hapa
 
vijana wamechanganyika kama sio kuchanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…