Ukadai nini?? (madai juu ya nini)Mtoto wangu ambaye yupo kidato cha nne sasa mwaka jana alizushiwa kesi ya KUBAKA ktk mazingira ya ajabu sana.
Tulienda na kesi mpaka mwisho ilitupiliwa mbali baada ya polisi ambao ndio mashahidi wa Jamhuri kushindwa vibaya kuthibitisha chochote.
Nakusudia kufungua kesi ya madai.Wapi nitapata msaada wa kisheria?
Talk as a lawyer ,scenario c IPO waz hapo? Kama mwanasheria hata kama yeye hajawa open hujui nn anaweza akadai hapo?Ukadai nini?? (madai juu ya nini)
Eg. Costs
Declarations
Malicious prosecution ect
Cha msing ili tukupe ushauri lazm uwe mwazi (open) unachotaka udai
Ukadai nini?? (madai juu ya nini)
Eg. Costs
Declarations
Malicious prosecution ect
Cha msing ili tukupe ushauri lazm uwe mwazi (open) unachotaka udai
Hilo peke yake likifanyika ni kubwa sana na litamfanya mshindiAchana na hayo mambo. Maadam kesi imeshakwisha usipiende kujiingiza kwenye matatizo yasiyo na tija... Unaweza kufungua kesi ya madai alafu fidia utayopata utaambiwa tu jeshi likuombe radhi na kukusafishia familia yako... Hapo utakuwa umeshatumia pesa nyingi sana na hussles za kutosha...
Atajutia maamuzi yake. Mwache tu afungue mashitaka... Itamgharimu zaidi. Kuna msemo usemao, ukisimama kumrushia mawe kila mbwa anayekubwekea, hutofika mwisho wa safari yako...Hilo peke yake likifanyika ni kubwa sana na litamfanya mshindi
Well said, let bygones be bygones!Achana na hayo mambo. Maadam kesi imeshakwisha usipiende kujiingiza kwenye matatizo yasiyo na tija... Unaweza kufungua kesi ya madai alafu fidia utayopata utaambiwa tu jeshi likuombe radhi na kukusafishia familia yako... Hapo utakuwa umeshatumia pesa nyingi sana na hussles za kutosha...
Lawyers should not decide on behalf of clients what do they think, Lawyers should remain advice on SUBSTATIVE & PROCEDURAL on what clients decide (e.g to wave) clients should express TO LAWYERS what service do they seek for assistance.Talk as a lawyer ,scenario c IPO waz hapo? Kama mwanasheria hata kama yeye hajawa open hujui nn anaweza akadai hapo?
Kwani kila kesi ikitupiliwa mbali ni malicious prosecution???Sanasana Ni Malicious Prosecution.. Ila Kama Kulikuwa Na Probable Cause Kesi Inaweza Kufeli. Kwa Mfano Huyo Kijana Alionekana Na Mbakwaji Muda Mchache Kabla Ya Tukio Kufanyika.
Ila Ungetoa Mazingira Yalivyokua Na Mwenendo Mzima Itasaidia Hata Kukuambia Kama Itawezekana Au Lah!!
Mbona umesema MP pekee??? Kwan false imprisonment hawezi c aliwekwa ndani???Kama ni mwanasheria huwezi muuliza hivi!! ameshakueleza scenario ni kazi yako kuangalia je katika hali hiyo nini anachoweza kudai sio unataja tu vitu sasa wattegemea yeye tena akupe opinion anajuaje sasa! think wisely.
Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria za korokoroni Malicious Prosecution(MP) ndio suala la msingi therefore declaration/costs zinaombwa within na ndo dhumuni la kufungua MP. Anyway ngoja tusubiri na wataalamu waliosomea sheria watuambie.
Kufungua madai kwa maoni yko umefkilia TORT (Malicious p) ili kufungua tort muda ni 3 years je jiulize kwan ameweka alitendewa lini????? Ili kujua LIMITATION OF ACTION muda hajaonesha halaf unakurupuka maelezezo yanajitosheleza.Kama ni mwanasheria huwezi muuliza hivi!! ameshakueleza scenario ni kazi yako kuangalia je katika hali hiyo nini anachoweza kudai sio unataja tu vitu sasa wattegemea yeye tena akupe opinion anajuaje sasa! think wisely.
Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria za korokoroni Malicious Prosecution(MP) ndio suala la msingi therefore declaration/costs zinaombwa within na ndo dhumuni la kufungua MP. Anyway ngoja tusubiri na wataalamu waliosomea sheria watuambie.
Mkuu Ndomaana Nikasema Atoe Mazingira Na Scenario Nzima Iwe Disclosed. Labda Hatuamini Au Anaona Uvivu Kuandika. Maelezo Yake Yako Too Vague,Na Hayakupi Mtu Mwanga Wa Nini Unafanya. Btw Niliposema Sanasana Sikumaanisha Solerly Ni M-P. Afterall Hawa Ndo Wateja Na Apo Ana Hasira Anataka Kukomoa Au Alikua Hajui Kaambiwa Anaweza Kulipwa Akachangamkia Fursa Kisa Kuna Fedha Ndo Kaja Apa Aone Uwezekano Upo Wa Kupiga Iyo Ela.Kwani kila kesi ikitupiliwa mbali ni malicious prosecution???
Ndo maana inahtaji mzingira wawe wazi kutoka kwa CLIENT!. the rolenof a lawyer is to assist both the court and the client sio kuwa shabiki wa client!.
NB: Kwa kesi km hz (MP) kufaulu huwa sio kazi lahc lazm azbitishe element zote SITA (6) refer case laws!.