Nakusudia kupanga maandamano hadi bungeni kushinikiza Ripoti ya CAG ijadiliwe sasa

Nakusudia kupanga maandamano hadi bungeni kushinikiza Ripoti ya CAG ijadiliwe sasa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?

Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili kukamata wezi wote kurejesha fedha za umma na kuzuia uwezekano wa wizi mwingine kutokea.

Tarehe na namna ya kuhusika na haya maandamano vitawekwa wazi kwa ajili ya wazalendo wote.
 
Nakuunga mkono kabisa utatujulisha kwa mara ya kwanza nitakuwepo kwa ajiri ya hiyo
 
We endelea kukusudia tu.
Hilo mdo unaloweza,
Lakini la maandamano unajichekesha tu.
 
Ukifanikiwa maji nitayaita mma!
Hata hasipofanikiwa kaonyesha njia tuache kuongea na kulalamika yuma ya keyboard,hapo ndipo mafisadi wanaringa wanajua hatuwezi kuwafanya chochote sisi wananchi, lakini siku yaja na sio mbali
 
Ilibidi achomoke yeye ... Kwani anashindwa wawajibisha mafisadi..
So achana nayo.. hutafanikiwa.
 
Maandamano ya amani yawe chini ya mwamvuli wa Upinzani CHADEMA + ACT WAZALENDO.

Nitakuwa mstari wa mbele.
 
Ili yawe na tija Maandamano ya amani yanatakiwa yawe Nchi mzima.
 
You must strike while the iron is hot. Nchi yetu inapitia kipindi kigumu. Ripoti za CAG zimekuwa hivyo hivyo kila siku; zinataka watu wakubwa ambapo ukijaribu kuzitekeleza you will have to shut down the government.
Sasa ukisubiri mpaka Novemba sijui utamkamata nani. Hata ikifika Novemba labda atakuwepo mtu amedukuliwa moyo.
Lakini Spika amesema wananchi siyo kosa kuijadili .
 
Back
Top Bottom