Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad.
Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla.
Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu.
Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa chake kwamba kuna baadhi ya sheria ni kandamizi na kushangaa zilipitaje bungeni. Na akaongeza kuwa yawezekana zilipita akiwa amelala.
Ktk mazingira kama haya tunawezaje kumwacha mtu huyu aendelee kuwa spika?
Mbili. Tozo za miamala ya simu zimepita bungeni, yeye akiwa ndiye msimamizi wa bunge. Zilipoanza kuumiza wananchi wabunge wale wale waliopitisha wakaanza nao kulalamika. Huyu spika hakika ameshindwa kuliongoza bunge. Wanakula posho kubwa wanaishia kulala bungeni bila kufanya kazi. Tunamwachaje mtu huyu aendelee kuwa spika?
Tatu. Mbunge Jerry Slaa amesema ukweli usiotiliwa mashaka kabisa Mshahara wa mbunge ni sh milioni 11 na laki 7 (mbunge Kasalalai aliutangazia umma kwa kuonesha salary slip take).
Sasa iweje kodi ikatwe kwenye sh milioni tatu tu? Eti Ndugai & Co wanasisitiza kuwa posho ni milioni 8. Eboo! Kwann posho ziwe kubwa kuliko mishahara? Huu ni wizi. Jerry Yuko sahiihi, Ndugai anatumia mabavu kuzima hoja za mbunge huyu mzalendo. Hafai kuendelea kuwa spika.
Ninakusudia kumtumia mbunge ambaye ndiye mwakilishi wangu kuwasilisha azimio la kumwondoa spika. Wabunge wote naombeni mniunge mkono. [Soma katiba hapa chini ibara ya 84 (7) (d)].