Nakutafuta kama upo nakuitaji

bartaizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
236
Reaction score
91
Sitaki kuamini ulimwengu unavyoamini naamini inawezekana, nakutafuta uwe muumini wa Kanisa la kristo, uwe unautaifa wa Asia au Latin America, nakutafuta si uwe mwenzi waku isipokuwa mke wangu na rafiki wa maisha yangu yote kama uko tayari nijuze!

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Latin America.....nipo hapa

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
hicho kifungu hakihusiani kabisa na ulichoandika....
ungeeka kile kifungu cha atamuacha babake na mamake na kuambatana na mumewe
msubiri atakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…