stanley moses
New Member
- Jul 24, 2009
- 3
- 0
Stanley Moses na Tabora Girls wapi na wapi?MIMI STANLEY MOSES
NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU
CHERU MKOMBO
POPOTE ULIPO TANZANIA
TULIACHANA NA WEWE ULIPOMALIZA KIDATO CHA NNE
TABORA GIRLS 2004
HADI LEO NAKUTAFUTA UKO WAPI?
JAMANI YEYOTE ANAYE MFAHAMU DADA HUYU
ANIJULISHE KWA ANWANI ZIFUATAZO
1, stanleymoses67@yahoo.com
2, 0713163155
3, 0765487827
tafadharini jamani
Yeye alikuwa tabora boys, if yu no wora am seying! si unajua pale ni pua na mdomo, hata maji wanateka kisima kimoja yakhe!Stanley Moses na Tabora Girls wapi na wapi?
Mkuu samahani kwa kwenda off post, edit sema unamuulizia rafiki yako unavyosema dada ni umri mkubwa au ni tumbo 1? lakini kutokana na maelezo huyo sio tumbo 1. Kuwa mkweli tukusaidie nitatangaza kwenye kipindi changu leo jioni na kesho asubuhi mara 3
Stanley Moses na Tabora Girls wapi na wapi?
Yeye alikuwa tabora boys, if yu no wora am seying! si unajua pale ni pua na mdomo, hata maji wanateka kisima kimoja yakhe!
Yeye alikuwa tabora boys, if yu no wora am seying! si unajua pale ni pua na mdomo, hata maji wanateka kisima kimoja yakhe!
Mkuu samahani kwa kwenda off post, edit sema unamuulizia rafiki yako unavyosema dada ni umri mkubwa au ni tumbo 1? lakini kutokana na maelezo huyo sio tumbo 1. Kuwa mkweli tukusaidie nitatangaza kwenye kipindi changu leo jioni na kesho asubuhi mara 3
MIMI STANLEY MOSES
NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU
CHERU MKOMBO
POPOTE ULIPO TANZANIA
TULIACHANA NA WEWE ULIPOMALIZA KIDATO CHA NNE
TABORA GIRLS 2004
HADI LEO NAKUTAFUTA UKO WAPI?
JAMANI YEYOTE ANAYE MFAHAMU DADA HUYU
ANIJULISHE KWA ANWANI ZIFUATAZO
1, stanleymoses67@yahoo.com
2, 0713163155
3, 0765487827
tafadharini jamani
Nimemtafuta kwenye Google wala hayupo! Jiandae kwa surprises unaweza kuta ameolewa na maisha yake, ama ameishatangulia kwenye hukumu ya mwisho...ukakumbushia nduguze machungu!
Inawezekana huyu Stanley alikuwa ameenda kwenye mahafali ya dada yake, na tangu siku hiyo hawajaonana.Stanley Moses na Tabora Girls wapi na wapi?
mimi stanley moses
nakutafuta wewe dada yangu
cheru mkombo
popote ulipo tanzania
tuliachana na wewe ulipomaliza kidato cha nne
tabora girls 2004
hadi leo nakutafuta uko wapi?
jamani yeyote anaye mfahamu dada huyu
anijulishe kwa anwani zifuatazo
1, stanleymoses67@yahoo.com
2, 0713163155
3, 0765487827
tafadharini jamani
Ninapata mashaka kwamba wewe ni mwenyeji sana mitaa ya Ng'ambu na Sikonge Rd. Vipi, ulipitia mitaa Warsaw?😉
Ninapata mashaka kwamba wewe ni mwenyeji sana mitaa ya Ng'ambu na Sikonge Rd. Vipi, ulipitia mitaa Warsaw?😉
kijana naomba utoe maelezo ya dhati kwnn unamtafuta mke wangu mtarajiwa???....naona wewe ndio kati ya wale wale msiopenda kuona wenzenu wanafurahia maisha yao na wachumba zao...
Umesikia next year namtia ndoani sasa unakuja na vijisababu vyako vya kitoto uonekane kuwa unataka kuwasiliana naye...kwa ufupi hii imekula kwako na ndio namtia ndoani na utaishia kumsikia tuuu hapa jf...ukisha jua nipo naye then unataka kufanya nn???...
Kwann hupendi kukubali ukweli hata kama unauma???....haya basi nitamweleza kuwa ki-x-boyfriend chako cha sekondari kinakutafuta....then utaongea naye kwa simu yangu..weekend ijayo jmosi saa tano asubuhi...maongezi yatarekodiwa..na mind you utasikika na umati woote utakaokuwapo kusikia unamwambia nn cha ajabu
Yeye alikuwa tabora boys, if yu no wora am seying! si unajua pale ni pua na mdomo, hata maji wanateka kisima kimoja yakhe!