Nakutafutia location/center nzuri ya Uhakika kwa biashara yako

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
 
Mtaji 20M, naomba aina ya biashara na location
 
Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Nina mtaji 15m,nipe location na aina ya biashara.
 
Mtaji laki Tano nitafutie aina ya biashara na location
 
Mtaji milioni moja.
Biashara matunda.
Nipe location.
 
Wenye mitaji hawajui cha kufanya,wasio na mitaji Wana idea nzuri za biashara hatari sana
 
Back
Top Bottom