Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
😄🤣🤣 hii nchi ngumu sana!Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Biashara ya kutafutia watu eneo la biasharaWe unafanya biashara GANI?
Mtaji 20M, naomba aina ya biashara na locationMimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Nina mtaji 15m,nipe location na aina ya biashara.Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm