Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2024 in advance

Thank you in advance, Mwenye enzi Mungu akatujalie mwisho mwema wa mwaka wanaJF wote pamoja na kusheherekea vyema sikukuu ya kuzaliwa Kristo Mwokozi wa Ulimwengu na hatimaye kuupokea mwaka mpya 2024 panapo majaliwa
 

Ameen neema ya Kristo Yesu iwe nawe wewe na familia yako.
 
Bila kusahau Ada za January
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…