Sikuona jamani. Asante sana kipenzi.Nakutakia usiku mwema bint mrembo, (naita dhahabu ndani ya kariakoo nzima - Dully ),
Mungu akuepushe na vishari vya usiku,
Mungu akulinde na mafundo kwa wenye kupuliza,
Mungu akulinde na hasidi kwa wenye kuhusudu,
Usiku mwema Mzigua90