Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Katika mahusiano yangu nimegundua kuna changamoto fulani inayojitokeza mara kwa mara.
Mabinti wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu maumivu wakati wa faragha, wakidai kwamba nina maumbile makubwa jambo ambalo binafsi siamini kuwa ni kweli.
Nimekuwa nikijipima mara kwa mara, na vipimo nina maumbile ya kawaida.
Na mara nyingi hali hii husababisha faragha yetu kuishia ghafla, kabla hata ya kumaliza mzunguko wa kwanza.
Pia kuna muda katika tendo unakuta kati K ya wenzi ninaoshiriki nao tendo hukauka namm sjamalza bao la kwanza na mechi inaisha hata sjamwaga.
Kuhusu mambo mengine, ninaelewa kwamba watu wanaweza kuwa na maoni tofauti, lakini mimi binafsi si mtu wa kuwa na harufu mbaya ya mwili au kinywa, mimi ni gentleman haswa.
Naombeni ushauri