Mmmm !!hivi tukisikia Sweden Sweden stockholm stockholm kumbe hali halisi ndio hiyo ? leo nimelewa kwa nini wavulana wa kibongo wakifika TZ wanawakimbiza wasichana warembo ,unapowauliza kina kaka kwani huko mnakoishi si ndio wapo warembo wazuri inakuwaje hii leo umekuja matembezi mnafukuzia vimwana kila unachokutana nacho na ukiwauliza kwani kina dada wa kibongo vipi huko mnakoishi wanakuwa hawana la kusema ,lakini kwa hali hii tunayoiona katika hizi sherehe tumewaelewa na kuwasikia vilio vyao wanapokuwapo hapa Bongo sijuwi wakiwa huko majuu hali inakuwaje .