Mkuu naskia ameolewa na kigogoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako
Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake
Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza
Mwaaaaaaaaaa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie aje bhana anaumiza sana moyo wangu jamanMbitiyaza come this way
Sawa tu mkuu kipenda roho hula nyama mbichiMkuu naskia ameolewa na kigogo
Na ana mtoto mkubwa kama ww
Sijaharibu mkuu nikikuwa naweka msisitizo ili asiwe mnyonge ajue niko tiar kwa lolote lileUlipoharibu ni kumuita single mother!!
DJ sepetu
Laiti ungejua unamtongoza bonge la mwanamke anayejua kila mbinu ya utongozaji ungemuingia kwa style mujarabu sio hii ya kitoto!Sijaharibu mkuu nikikuwa naweka msisitizo ili asiwe mnyonge ajue niko tiar kwa lolote lile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unanisonga sanaLaiti ungejua unamtongoza bonge la mwanamke anayejua kila mbinu ya utongozaji ungemuingia kwa style mujarabu sio hii ya kitoto!
Subiri anakuja akupe za uso[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Unga dots[emoji23]
Hata kama namtaka siwezi tumia mbinu hii if am real serious!
Tabia za kike hizi mkuu, nadhani mwenye majibu ni MBITIYAZA sio weweLaiti ungejua unamtongoza bonge la mwanamke anayejua kila mbinu ya utongozaji ungemuingia kwa style mujarabu sio hii ya kitoto!
Subiri anakuja akupe za uso[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Laiti ungejua unamtongoza bonge la mwanamke anayejua kila mbinu ya utongozaji ungemuingia kwa style mujarabu sio hii ya kitoto!
Subiri anakuja akupe za uso[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu