Jaman demi wewe bado tu unamsakama si ameshakwachia birgetMtaka mawili
Sijamtaja lakini.... We kazia tu.... Akisema no maana yake 'may be' .hapo anapima commitment yako.... If you are serious you will persist... If you are not serious you will go and she will privately say mxuuu... nyooo ulidhani mi wa Ohio eeh? Ha ha ha ha ha ha.Sio vzr joh ungeuchunia tuu..Natafuta beki mbili..
yaan umeamua kunitema mimi kwa karanga za kuonjeshwa..nimesikitika saaana kwa kwelihahaaha sawa bwana ! bas nenda ! km unauweza 'moshi'...
yaan umeamua kunitema mimi kwa karanga za kuonjeshwa..nimesikitika saaana kwa kweli
Mmmnh hayo maneno ya kihenga sasa nanyupu kwa sasa mtu anakwambia live unamjibu live sio unamchelewesha mwenzio kuwahi fursa zingine. Mi najua Mondray kanielewa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] labda hajaona kweli.ahhahhhaha kwamba hajaona
Sawa shemejiMdada mimi sio mtoto bali baby mbiti ndio mtoto, nampenda sana mbiti jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Shemela
AbeeeInna
Sawa shemeji
Na mimi sio mdada ni mama mtu mzima
Miaka kama mingap hiv nione gap ambalo umenipigaSawa shemeji
Na mimi sio mdada ni mama mtu mzima
Bas shem hapo sawaHa haaa shem..ndo namuambia atulie na wewe sasa aniachie BILGERT
Unafanya nini kipenz saiv nataka ukanioshe nataka kwenda kuogamissn u too