Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hamna hata shoga anguTafuta basi unitag
Haha chezeiya mbiti weweSasahivi anafurahia ahadi,hapo bado hazijatimia zikitimia sijui itakuwaje
Yaan we jamaa unaonekana umejawa upweke sana pole sana mkuu, kwahiyo hapo unataka kwenda kununua mademu siyo?Mama ngoja kidogo nikadake ka kinywaji hapo runaway lounge nirudi kuangalia series yangu maana am running out of stock... baadae, ati? [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]View attachment 578615
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nitammiminia vinegar atapike mpaka utumbo [emoji57][emoji57]
Mie mwenyewe nimetafuta hata sijaona kweli siku hazifananiHamna hata shoga angu
Nimemiss zile fujo khaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mie mwenyewe nimetafuta hata sijaona kweli siku hazifanani
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji119]my ribs ! hahahah ! [HASHTAG]#notfair[/HASHTAG]
Hapana chezea aiseehHaha chezeiya mbiti wewe
Acha kabisa jeshi la negativity [emoji23][emoji23][emoji23]Nimemiss zile fujo khaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha wala tupo positive sana sisi, jamani nani hapendi kupewa raha na mumewe? Raha ya ndoa mpeane wote wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]Acha kabisa jeshi la negativity [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] strugo umetisha mkuu[emoji122]Kabla hujaamua kusogeza kiumbe chenye akili timamu kwenye himaya yako bila kutumia silaha !!
Fuata hizi mbinu
1.mjue jina lake halisi .
2.kama anapenda utani linyumbue jina lake Kwa namna ya pekee!yaani utofautiane na wengne katka uitaji
3.mpigie simu kila Mara !hapa usisahau kuwa unalitumia hilo jina ili alizoee!..
4.Fanya vitu tofauti kwake huku ukifuatilia mrejesho kutoka kwake kama anavipenda vitu hivyo na anakutofautisha na wengne walowahi kummbebisha
5.Usiwe na uharaka ya kuiambia jamii kuhusu hisia zako kwake..anyway unaweza kuwaambia watu ila yeye asijue
6.Mfahamu vizuri ikiwa ni pamoja na kuudukua udhaifu wake na kuuelewa mahali ulipo egemea
7.Akisha kuzoea kama ng'ombe wa mnada anza kumswaga taratibu bila kutumia fimbo tumia maneno matamu mubashara ili afike getto
8.Siku akifika getto Kwa Mara ya kwnza usianze kumsimulia kuhusu mafanikio yako humo ndani
9.Mwache ashike kila akipendacho humo ndani !vya kushika vikiisha utaanza kushikwa wewe sasa!hapa usije kuruka kama mjusi aliyedondoka kutoka juu ya mti
10.Ukishikwa usikiruhusu kiboro dinda kidinde haraka jikaze ili aanze kudinda yeye!hapa utamchezea kama mtoto mdogo
11.Sasa baa mdogoo hapa mtekenye samaki wako na umgeuze geuze unavyotaka akiiva mle kirafi kabisa na Kwa kiwango cha rami..
12.Baada ya hapo njoo sasa umsifie huku JF na ukimtofautisha na thread zote ambazo umewahi kupekenyuaa
Nasi tutamuita shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii
acha uongo
Haha wala tupo positive sana sisi, jamani nani hapendi kupewa raha na mumewe? Raha ya ndoa mpeane wote wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haha si unaona raha unayoipata kwa nanyupu?koh koh nakohoa mieeeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haha si unaona raha unayoipata kwa nanyupu?
Ahahahaaaaaa tatizo watu hawataki kutuelewa hapo ndipo shida inapoanziaHaha wala tupo positive sana sisi, jamani nani hapendi kupewa raha na mumewe? Raha ya ndoa mpeane wote wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mh uwiiii sina neno hapaHaha wala tupo positive sana sisi, jamani nani hapendi kupewa raha na mumewe? Raha ya ndoa mpeane wote wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wanatuelewa vizuri sana, sema tu kuna watu wabinafsi. Wanataka wenyewe tu ndo wapewage raha, akhuu tupeaneeAhahahaaaaaa tatizo watu hawataki kutuelewa hapo ndipo shida inapoanzia
Eeh shem mtendeane mema wote wawili, sawa?
Hahahahahaa sawa shemu nimekupata usijal kuhusu hiloEeh shem mtendeane mema wote wawili, sawa?