Naona ngosha anachochea Glock 19aisee mume pole mie nashangaa sikuon !net nilipo utata mtupu
Naona ngosha anachochea Glock 19
Hahahahaaa nilikuwa namuona anavyohangaikamie mzima !uliniacha na donlucchese alikua ananichekesha tu aiseee
Hahaha, hakuna namna.hahh nimekukumbuka leo nikajikuta nacheka !naona unamkaribisha shem wako
Aaaah jamani kua mkweli basi tumeishia kwenye kuchekeshana tu?mie mzima !uliniacha na donlucchese alikua ananichekesha tu aiseee
Oi chafu yangu mwanangu wa faida nilipigwa bhana cjakuona kuja kunitolea dhamana
Daaah ebana chaf yangu ulizingua nini tena hadi wakakutia kibindoni?Oi chafu yangu mwanangu wa faida nilipigwa bhana cjakuona kuja kunitolea dhamana
Kuna Dogo alizinguaDaaah ebana chaf yangu ulizingua nini tena hadi wakakutia kibindoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wadogo wanazingua sana hawa kama kina nanyupu mi hua nawaangalia tuKuna Dogo alizingua
Lakn nanyupu si mwanetu?Watoto wadogo wanazingua sana hawa kama kina nanyupu mi hua nawaangalia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi saiv kuna dogo mwingine anazingua najiuliza sijui nimpe nakoz lakin naogopa selo ya wale jamaaKuna Dogo alizingua
Nakuona umeanza chokochokoWatoto wadogo wanazingua sana hawa kama kina nanyupu mi hua nawaangalia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kausha tu askari wanguHata mimi saiv kuna dogo mwingine anazingua najiuliza sijui nimpe nakoz lakin naogopa selo ya wale jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we hujajua tu mwana si alikuwa anafukuzia kwa mbiti nikampiga bao, ndo maana haish vikumboLakn nanyupu si mwanetu?
Hayo yameshapita inatakiwa tujenge Tanzania mojaMkuu we hujajua tu mwana si alikuwa anafukuzia kwa mbiti nikampiga bao, ndo maana haish vikumbo
Sent using Jamii Forums mobile app