Ni kosa kubwa sana na alipigwa BANHivi hukupigwa ban [emoji28]
Ni kosa kubwa sana na alipigwa BAN
Kwani kosa kumpenda modTatizo hata pm hajaja mkuu
Niliona tu walinizawadia ban
Lakin moyo wangu umemudondokea ile mbaya
Ama kweli nimeamini kumbe penzi ni kikohozi kulificha haiwezekani. Pamoja na kusotea ban bado msimamo wako uko palepale!!Walinionea tu kupenda ni hisia nami zangu zilindondokea kwa moderator
mkuu huoni kama Iyo ni warning umepewa. ya kwamba utabadilisha msimamo lakini wpi. life ban itakuhusu. achana na moderator's, madems wamo kibao humu.Life ban kwa kosa lipi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nimecheki eona farida kalike post ako mkuu
Labda kakukubali mzee [emoji28][emoji28]