Nakwea mnazi hadi masaa matatu, je hii ni kawaida?

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Shalom Shalom

Hali ndo hiyo wakuu nikiwa nakwea mnazi siwezi haraka haraka natumia muda mrefu hadi masaa 2-3 nikikwea chini ya hapo inabidi jioni nikwee tena lakini nikwee Kwa saa tatu naweza kupumzika hadi siku tatu ndo nakwea Tena.

Ushauri wenu wakuu natakiwa nifanyaje Ili nikwee kistarabu maana too much is harmful
 
Ukifanikiwa, utagundua haya matangazo ni low grade na immatute kwa mwenye akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…