ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nina miaka miwili na furahia sana maisha mapya.wako watu wengi Sana wanathamini Mambo nayoyakazia fikira.nina hela Sana na ndugu zangu Wana hela Sana hawayumbagi.me Ni mnomaAiseee vipi mzee Lumumba kumetema nini?
Hela zenu mnataka niwalipe lini?Inabidi utulipe kusoma ujinga wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu Leo nilikuwa na laki moja na elfu 47,nimeiteketeza yote.kivipi?kihivi!
Leo nilikua nakunywa pombe za kistaarabu heinikeni nikanywa vingi tu kwenye grocery fulani sasa nimewakuta mademu wawili mmoja mke wa mtu, mwingine kabinti. nikwapagawisha na offer ya bia serengeti lite nyingi.kisha nikawambiana wote nyie Ni warembo.wakajibu hapana chagua mmoja wakwenda nae.
Me nikawaambia me nawataka kama wote wakasema.niweke hela mezani.nikapanda dau nikaweka 85000.tena nikawaambia kabisa saa nne nawakula wote simultaneously kitu Cha threesome wamekubali.me Ni chizi eti mzinguaji.nafanya mawewe,anayeniamini anitag
Nina miaka miwili na furahia sana maisha mapya.wako watu wengi Sana wanathamini Mambo nayoyakazia fikira.nina hela Sana na ndugu zangu Wana hela Sana hawayumbagi.me Ni mnoma
KUNDU KUNDU NISHUSHE DAR KUNDUCHI.
Hahahaah auweke Youtube tuburudike na sio WhatsApp tu.Pacha wake Nyegezi akipigwa sehemu za starehe watu wote shagwe
Ha ha ha haaaa Mkuu ingia studio utoe hicho kibao kitabamba kuliko NYEGEZIKUNDU KUNDU NISHUSHE DAR KUNDUCHI.
Mbona ipo nenda YouTube utaikuta search kunduchiHa ha ha haaaa Mkuu ingia studio utoe hicho kibao kitabamba kuliko NYEGEZI
Hahahaa KUNDUCHI washatoa kibao,nimeaimba mashairi ya hilo song.Ha ha ha haaaa Mkuu ingia studio utoe hicho kibao kitabamba kuliko NYEGEZI