mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
Historia imehukumu.ikiwa imepita miaka takribani 16 hivi! WAZEE ,KINA MAMA NA VIJANA,WAMKUMBUKA NALAILA KIULA JIMBONI IRAMBA MAGHARIBI.
Wewe kijana sijui kama ulikuwa umezaliwa,tulikuwa na maji,kata upepo zilikuwepo ,pale Lyungilo ,Kyengege maji yalikuwa ya bomba mwanangu hatukuwa na shida wakati ule sasa huyu aliyepo na waliomtangulia yaani mh Shango (1995-2005),mh.Kilimba (2005-2010)na mh Lameck Madelu alimaarufu Mwigulu Nchemba(2010-2015).
Alisema mzee Shani katika kitongoji cha London kijiji cha Mugundu ,kata ya Kyengege. Tunamkumbuka huyo mbunge Kiula alikuwa na busara, mpole na msikivu. Huyu Mwigulu tunasikia magazeti yanasema mara katukana, mara ugoni na wake za watu akimaanisha kule Igunga hajaleta maji hapa shida tupu.
Wewe ukienda huko mjini alipo (dar) mwambie wazee wako tunashida ya maji.