Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
Naomba kujuzwa jaman,nimenunua gari namibia milion kama 7 za kitanzania sasa nataka kujua ntakapokua naliingiza nchini kwangu ntalazimika kulilipia? Ama utaratibu ukoje? Ni gari aina ya benz ya mwaka 2008,najua ukiagiza nje ya afrika unalipia gari lakin nahis kwa nchi za SADC kuna utaratibu,naomba kujuzwa