Mwezi wa nne mwaka huu kadi ina jina la mnunuzi wa kwanza ambae c mimi
Mwezi wa nne mwaka huu kadi ina jina la mnunuzi wa kwanza ambae c mimi
Usimdanganye! Wakifanya valuation wakakuta kwamba mahesabu yao yanawapa value ambayo ni ndogo kuliko bei ya ile aliyonunulia gari yeye, watatumia bei aliyonunulia yeye. Their principle is to take whichever value is greater between the two prices. Kama yao iko juu watatumia hiyo, ila kama ya kwake iko juu watatutmia hiyo ya kwake. Kwa hiyo price aliyonunulia gari bado inaweza ikatumika pia, inategemea na hali ya hewa itaonyesha vipi kwenye valuation yao.Kama kadi ina jina la mtu mwingine. utaratibu utakaotumika ni ule ule wa kununua/kuagiza gari kutoka nje ya nchi, hata hivyo, TRA huwa hawaangalii bei uliyonunua, bali mwaka na bei yasoko kuhusiana na aina ya gari, kwa hiyo ili uweze kujipanga vizuri angali kwnye mitandao aina hiyo ya gari inauzwaje katika bei ya soko. Aidha, kama uko Namibia kwa muda, lisajili huko huko ulitumie kwa muda wa mwaka mmoja then siku ukirudi, unarudi nalo kama mali binafsi.
Kama hilo gari ungekuwa umelimiliki na kuandikishwa kwa jina lako zaidi ya mwaka mmoja, basi ungeweza kulileta kama part of your personal effects. Vile vile kwenye passport yako lazima uwe umemaliza mwaka zaidi ya mwaka kuweza kuingiza personal effect bila kulipia ushuru. Kwa kifupi, hilo gari lazima utalilipia ushuru na basis ya calculation ya huo ushuru haitaangalia ulilinua kwa bei gani, itategemea ni la mwaka gani. Kama una clearing agent unayemjua, wasiliana naye, mpe details za gari (hasa year of manufacure na make) na yeye atakusaidia kukwambia how much you will be required to pay.
Tiba
Usimdanganye! Wakifanya valuation wakakuta kwamba mahesabu yao yanawapa value ambayo ni ndogo kuliko bei ya ile aliyonunulia gari yeye, watatumia bei aliyonunulia yeye. Their principle is to take whichever value is greater between the two prices. Kama yao iko juu watatumia hiyo, ila kama ya kwake iko juu watatutmia hiyo ya kwake. Kwa hiyo price aliyonunulia gari bado inaweza ikatumika pia, inategemea na hali ya hewa itaonyesha vipi kwenye valuation yao.
Wanafanya kazi kwa kuangalia "hali ya hewa", hakuna viwango, hakuna "value for money" pole yao. Yaani gari CIF ya gari ni milinoni 7, halafu ulipie zaidi kwa kuwa hali ya hewa imeruhusu hivyo !!!!