Hongera ndugu...kumbe dada wewe ni kimada au nyumba ndogo?Jamani nimewamiss! Nimejaliwa mtoto wa kiume yani mwenzenu niko bize hakuna mfano. Leo kidogo nimepata hizi dakika mbili nikaona niwakumbuke. Babake alipomwona tu nikamshangaa mwenzangu chozi linamlengalenga nikamwuliza vipi? Ati kisa kaona mwanae ana kidimpo kidevuni basi ndicho kimemliza anasema kimemkumbusha babake mzazi. Na kule kwa yule hakuna mtoto mwenye hicho kidimpo. Basi mie mwenzenu bichwa hilo!
Hongera ndugu...kumbe dada wewe ni kimada au nyumba ndogo?
Hongera ndugu...kumbe dada wewe ni kimada au nyumba ndogo?
Congrats...zidni kupendana na kuikuza familia...!!Jamani nimewamiss! Nimejaliwa mtoto wa kiume yani mwenzenu niko bize hakuna mfano. Leo kidogo nimepata hizi dakika mbili nikaona niwakumbuke. Babake alipomwona tu nikamshangaa mwenzangu chozi linamlengalenga nikamwuliza vipi? Ati kisa kaona mwanae ana kidimpo kidevuni basi ndicho kimemliza anasema kimemkumbusha babake mzazi. Na kule kwa yule hakuna mtoto mwenye hicho kidimpo. Basi mie mwenzenu bichwa hilo!
Asanteni mlionitakia kheri. Siku nyingine tukijaaliwa nitaingia tena tushauriane hili na lile inshaallah lakini kwa leo naombeni tu niondoke mtoto mdogo sana huyu halafu sijazoea haya mambo. Byeee!
hongera sana mama!....
uko wapi nikuletee mtori?
Jamani nimewamiss! Nimejaliwa mtoto wa kiume yani mwenzenu niko bize hakuna mfano. Leo kidogo nimepata hizi dakika mbili nikaona niwakumbuke. Babake alipomwona tu nikamshangaa mwenzangu chozi linamlengalenga nikamwuliza vipi? Ati kisa kaona mwanae ana kidimpo kidevuni basi ndicho kimemliza anasema kimemkumbusha babake mzazi. Na kule kwa yule hakuna mtoto mwenye hicho kidimpo. Basi mie mwenzenu bichwa hilo!
Asanteni mlionitakia kheri. Siku nyingine tukijaaliwa nitaingia tena tushauriane hili na lile inshaallah lakini kwa leo naombeni tu niondoke mtoto mdogo sana huyu halafu sijazoea haya mambo. Byeee!
mh sijui kwa nini,nahisi sikupendi mwizi wa waume za watu nakuombea mabaya yakufike wewe na hilo toto lako
siongelei ushabiki,wakati wa kwake anaombewa mzuri kuna wa mwenzie kule maisha yake yameshaharibiwaSidhani kama hii ni sawa Musinga tena kwa mtoto maana mtoto hana kosa kwa vyovyote vile. Usimuombee mtoto mchanga wa watu aliyeletwa hapa duniani kwa kila sababu mambo mabaya, sio haki.
Hongera Da Sophy kwa kujaliwa mwana na nakutakia malezi mema.
Roho mbaya tu! Mtoto ni mtoto tu awe wa nje au ndani mradi kazaliwa! Tupo wengi kama vip jinyonge ufe tukutupe porini! Hongera Da Sophymh sijui kwa nini,nahisi sikupendi mwizi wa waume za watu nakuombea mabaya yakufike wewe na hilo toto lako
ntakuwa nimekugusa lazma,utanisubiria sana nijinyonge maana hutakaa uione maiti yangu wala kujua nilikufa lini polee!!Roho mbaya tu! Mtoto ni mtoto tu awe wa nje au ndani mradi kazaliwa! Tupo wengi kama vip jinyonge ufe tukutupe porini! Hongera Da Sophy
Naishia hapo mengine changanya na zako...ntakuwa nimekugusa lazma,utanisubiria sana nijinyonge maana hutakaa uione maiti yangu wala kujua nilikufa lini polee!!