Nalea

Nakupongeza sana ila ujue siwapendi wanawake wanaochukua waume za wanawake wenzao. Sababu ni mateso kwenye familia original. Nakushauri ili upate baraka na mwanao make sure familia ya huyo bwanako haipati shida kutokana na uwepo wako wewe! Ni ushauri tu sio lazima uubebe. Malezi mema
 
Mimi kama kakakiiza nimekuwa nikiulizia sana afya yako nashukuru kwakutujulisha kama wana jamii naomba nitangulize shukurani ila nawa pm watu ili tuweze kukutana na wewe tukupe mchango wetu kama wana jf ila nitumie no. yako kwa pm ili niweze kuognizi na jf member nilionao karibu.
 
achangiwe kwani ametelekezwa?
 
I thought you wont come back Da Sophy...
 

:scared::director::attention::llama:
 
mh sijui kwa nini,nahisi sikupendi mwizi wa waume za watu nakuombea mabaya yakufike wewe na hilo toto lako

sema yooooote,mseme da sophy,lakini huyo ni mtoto mchanga ambae ameletwa duniani,ni mtoto ambae hana makosa.Hyo maneno matatu uliyoyasema si maneno mazuri.
 

We Da sophy mbona na mimi pia umenikumbusha? Babangu mzazi pia alikuwa na box chin yenye dimple. Lakini katika kaka zangu hakuna mwenye kimada wala hawara, kwa hivyo hiyo dimple ya kidevuni ya mwanao ni suala la chance tu. Sikupi hongera yoyote maana hakuna cha kustahii hongera ulichofanya hapo. Lakini nakuombea afya njema na nguvu uweze kumlea mwanao huyo vizuri, maana masikini mtoto huyo hana hatia na tabia yako mbaya. Mungu ampe nguvu za kustahimili mazingira magumu uliyomsababishia, na ampe mafanikio maishani.
 
Kumbe hukupiga mechi ya nje cup
 
Hatima ya huyu junior kimakuzi itakuwaje?..............au ndo utamchukua dadiye jumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…