Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Hongera kwa kutimiza malengo. Wabarikiwe wote waliokupa connection. Endelea kupambana.Wakuu amjambo!
Naleta shukrani zangu za dhati Kwa wote ambao mlinipa michango yenu nilipoleta Uzi wangu wa kuomba ushauri wapi ntapata vibarua vya saidia fundi,
Vibarua nilivipata nimefanya miezi sita lengo langu likiwa ni kupata mtaji nianze bishara Nina furaha sana haikuwa kazi nyepesi, saidia fundi ni kazi ngumu sana kabisa kuhenyeka siku nzima sio mchezo kabisa.
Nina furaha sana,
Asanteni wakuu.
Amen shukrani sanaUbalikiwe sana mtumish
Endelea kupambana mwana wa MUNGU
Sana penye watu ndio penye pesa ndio maana mijini Kuna watu wengi.Watu ni mtaji,,, Hongera
Amen pamoja Sana mkuu safari inaendelea dah ila saidia fundi Wana kazi asee🥺Hongera kwa kutimiza malengo. Wabarikiwe wote waliokupa connection. Endelea kupambana.
Kweli mkuu maharifa then bidii.Ni kujituma tu
100Kweli mkuu maharifa then bidii.
Umenena vyema mkuu Nishafanya hivyo kabla ya kuja jf shukrani sanaHongera.
Shukrani inaweza kichochea kupata vitu vingine vizuri zaidi. Umrwashukuru wana JF. Nakuongezea ushauri mwingine: Mshukuru Mungu kwa kinywa chako lakini pia toa sadaka ili uendelee kubarikiwa zaidi.
Wasio rudisha shukrani sio waungwana hakika hii ndio miiko yetu watanganyika.Huuu ndio UTU.........huu ndio UTANGANYIKA WETU...........sorry wale wengine wabinafsi ndio maaana sija wataja .........
AmenUmefanya jambo zuri Mungu akuinue zaidi ya hapo inshallah
Pamoja Sana mkuuGreat...🤜🤛