Naleta shukrani zangu Vibarua nilivipata

Day walikua wanalipa kiasi gani mkuu?
Mwanza hii day ni elf kumi hadi 20 ila inatokana na kazi yenyewe mkuu kuipata iyo 15 kupanda juu sio mchezo yaani ni mateso vile nikikumbuka sitamani kurudi uko kabisa ๐Ÿฅบ
 
Amen pamoja Sana mkuu safari inaendelea dah ila saidia fundi Wana kazi asee๐Ÿฅบ
Mwanangu jana nimeshuhudia saidia fundi si kazi ya kitoto!! Pole sana mwanangu!! Nilimuona saidia fundi jana anapandisha mfuko wa cement 50Kg kwenye ujenzi wa ghorofa; inabidi akatize baadhi ya sehemu zimepigwa mirunda zinakuwa kama chocho Fulani hivi, so ikabidi autoe begani na kuupakata kama kapakata mtoto mchanga!! Daah!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!! Ikanifanya nikumbuke huu uzi!! Mwanangu saidia fundi wanapitiaga suluba haswa !!! Si kitoto!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Poleni sana saidia fundi wote .
 
Sio mchezo kabisa, pole zimewafikia saidia fundi.
 
Pole sana Mwana na umefanya jambo jema kurudisha shukrani huo ndio Uungwana, jf 4life.
 
Hongera.
Shukrani inaweza kichochea kupata vitu vingine vizuri zaidi. Umrwashukuru wana JF. Nakuongezea ushauri mwingine: Mshukuru Mungu kwa kinywa chako lakini pia toa sadaka ili uendelee kubarikiwa zaidi.
Yaani unampeleka kwenye sadaka tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ