matheiavelini
Member
- Jan 8, 2023
- 10
- 15
Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako.
Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia nimesoma course kadhaa za biashara mf. DIGITAL MARKETING.
Nimefanya kazi ya Mauzo Kwa kuzunguka na Gari ( dar es salaam na mikoa ya kusini) Kwa mwaka Mmoja mpaka January 2023 kampuni ilipofunga branch Kwa Tanzania..
Pia nimefanya project kadhaa Kwa online ( hasa Facebook+ Instagram) ,ikiwemo Mauzo ya vifaa vya ujenzi ambayo ilifanikiwa pakubwa.
Ndugu Yangu! Nikiacha hili la kusambaza CV,
Kuna hii ya Mauzo ikiwemo Digital Marketing, naiweza vizuri na nimeprove kwenye project nilizofanya pia naendelea kujifunza ....
Changamoto yangu kwasasa ni " BIDHAA YA KUUZA"
Kuna ugumu kidogo kufika dukan Kwa mtu na kumwambia nikuletee wateja unipe commission. Lakini kupitia wewe naweza kupata BIDHAA au huduma ambayo nitaiuza na kupokea commission.
Iwe nguo, electronics, vifaa vya ujenzi, vifaa vya nyumbani, huduma, spare n.k. Napenda kutumia mitandao( hasa Facebook na Instagram kupata wateja Kwa haraka.
Iwe wateja wa hapa Dar au Mikoani.
Najua: Copywriting na graphic design Kwa ajili ya kuandaa matangazo
Nina ujuzi wa kufunga Mauzo. Natumia Facebook business manager kutengeneza campaigns za Mauzo. Na Whatsapp Kukusanya list ya wateja. Najua unaweza kunisaidia au hata Kwa kunielekeza mahali fulani..
Najua unamajukumu mengi, lakini ukipata dakika 2 zinatosha kunisaidia.
Simu yangu + 255 757334796