Nalia na shule za kata

Yesar

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
300
Reaction score
17
Matukio yanayonihuzunisha
1.wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.yani shule wanaingia saa 4
kuhusu taaluma
1.kufaulu 1 kati ya 120
2.mwanafunz mwaka mzima kasoma page 2
3.mwalimu 1 yani kiraka kila somo yumo
natanguliza shukurani za dhati twende sasa
 
hahaaahaa umenikumbushaa enzi hizo 2010 ila co kesi from shule hzo mpaka now ardhi university..! So wakaze tuu madogo watatokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…