Tetesi: NALIAMINI JWTZ KWA 100%

Tetesi: NALIAMINI JWTZ KWA 100%

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Amiri jeshi mkuu mh John Joseph pombe magufuli

Mkuu wa majeshi jenerali mabeho

Wakuu waandamizi Makao mkuu ngome upanga

Wakuu wa kamandi zote

Wapiganaji wetu wote wa ndani na nje

salaam

kwanza nampongeza amiri jeshi mkuu mh John Joseph pombe magufuli kwa kuurasimisha mji mkuu wa serikali yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

Pili ni heshima kubwa kwa serikali yetu na nchi yetu kuhamia makao makuu Hii ilikuwa ni ndoto ya siku nyingi kwasisi wazalendo!

Utii kwa amiri jeshi
Utii kwa CDF

Mwisho Tanzania ni yetu sote

Wenu katika kulitumikia taifa

Superbug

Milano
Italy
 
Mkuu lala upunguze mzuka wa jani. Limeruhusiwa juzi tu leo limekuathiri kiasi hiki!!!

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Back
Top Bottom