Amiri jeshi mkuu mh John Joseph pombe magufuli
Mkuu wa majeshi jenerali mabeho
Wakuu waandamizi Makao mkuu ngome upanga
Wakuu wa kamandi zote
Wapiganaji wetu wote wa ndani na nje
salaam
kwanza nampongeza amiri jeshi mkuu mh John Joseph pombe magufuli kwa kuurasimisha mji mkuu wa serikali yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Pili ni heshima kubwa kwa serikali yetu na nchi yetu kuhamia makao makuu Hii ilikuwa ni ndoto ya siku nyingi kwasisi wazalendo!
Utii kwa amiri jeshi
Utii kwa CDF
Mwisho Tanzania ni yetu sote
Wenu katika kulitumikia taifa
Superbug
Milano
Italy