Nalinganisha gawio langu la NMB na CRDB

sijui inahitaji elimu au common sense tu kuwa ukiwekeza hela nyingi faida inakuwa kubwa na ukiwekeza hela kidogo faida ni kidogo,

hisa moja ya NMB ina thamani zaidi ya mara 10 ya hisa ya CRDB, hivyo kwa hisa sawa amewekeza NMB kiasi cha hela mara 10 zaidi ya CRDB kisha anauliza
 
Common Sense is not so Common at some folks. Elimu ndio suala la msingi.
 
mkuu Annual General Meetings unazifatiliaga?ila sijui imekuaje mpaka wenzako pale AICC wakakubali kupewa sh 10 kwa hisa na Bwana Kimei.
 
mkuu Annual General Meetings unazifatiliaga?ila sijui imekuaje mpaka wenzako pale AICC wakakubali kupewa sh 10 kwa hisa na Bwana Kimei.
Tukubali tu jamani CRDB wamekuwa wezi yaani kimei anatangaza faida ya 108b kakin kagawio kanakuwa kiduchu
 
ACHA UPPUUZI HUJUI NMB NI YA MACCM NA CRDB NI YANAMAGEUZI. KAMA WEWE NI UPINZANI FATA UPEPO BASI ONDOKA CRDB KWANI WAPAMBANAJI TUTABAKI HUKUHUKU

Kuhusu CRDB kwa ujumla nina wasiwasi na Mtendaji wao Mkuu. Naona amefikia dimwainishing point of return. Kwa hiyo hakuna jipya atakalolifanya, ningemshauri aachie ngazi, maana umekuwa maneno mengi kama mwanasiasa, na ninahisi anajiandaa kugombea huko kwa VUNJO na mjomba wake MBATIA.
 
Tusigeuze jukwaa hili KUWA jukwaa LA siasa,hapa BIASHARA,Uchumi NA Ujasiriamali,kama MTU hana majibu atulie,mapovu ya nini ?
 
mheshimiwa Koryo, kwa kweli CRDB hawana adabu. mimi ni mmoja ya walioathirika na vituko vyao!
 
ACHA UPPUUZI HUJUI NMB NI YA MACCM NA CRDB NI YANAMAGEUZI. KAMA WEWE NI UPINZANI FATA UPEPO BASI ONDOKA CRDB KWANI WAPAMBANAJI TUTABAKI HUKUHUKU
Acha kupotosha wewe usitake kuitetea CRDB kwa kutumia Mgongo wa wanamageuzi.Benki kama inanyonya watu wake Haina umuhimu wa kuendelea kuitumia
 
Ukiona Hisa hazifanyi vizuri uza nunu kwingine au ongeza NMB.
 
Hahaha
Ni kweli kk
Ila Mara nyingi uwekezaji wa hisa tunaangalia kupanda kwa thamani ya hisa ndo inalipa sema huu mwaka hisa zimenyewa,hazipandi Bali zinazidi kushuka tu yaani ni majanga
Nchi ya vi wonder tehtehteh
 
Jamaa anahesabu idadi ya hisa baadala ya kuangalia thamani ya uwekezaji (thamani ya hisa). Anachekesha kweli kweli huyu jamaa. Ni vipi uwekezaji wenye thamani ya 20M Utafanana return na uwekezaji wa 2M kwenye biashara aina ile ile na mazingira yaleyale!!!!!
 
Hahaha
Ni kweli kk
Ila Mara nyingi uwekezaji wa hisa tunaangalia kupanda kwa thamani ya hisa ndo inalipa sema huu mwaka hisa zimenyewa,hazipandi Bali zinazidi kushuka tu yaani ni majanga
Nchi ya vi wonder tehtehteh
Bora ya sasa kuliko tulipotoka ambako kulikuwa na uwongo uwongo mwingi sana. Kiasi kwamba wajanja wajanja walikuwa wanagawana pesa za watu bila aibu yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…