MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Shukran mkuu. Na vip nimpe mkataba au alete hesabu tu la siku?Kama utaweza kummudu kijana wa boda wekeza huko
Karibu.Eheee nasoma
Dah bahat mbaya nafanyia kazi mazingira magumu kidogo niko ndani sana mkuu.Anzisha MPESA au Tigo Pesa etc
Kilimo vipi ukizingatia upo maeneo ya ndani sana?Dah bahat mbaya nafanyia kazi mazingira magumu kidogo niko ndani sana mkuu.
Mkataba ni nzuri zaidiShukran mkuu. Na vip nimpe mkataba au alete hesabu tu la siku?
Huko ndio kuzuri sasa.. tena unaweza ww mwenyewe ukawa unafanya ukiwa ofisini hapo bila stress..Dah bahat mbaya nafanyia kazi mazingira magumu kidogo niko ndani sana mkuu.
Anzisha MPESA au Tigo Pesa etc
Wanalipwa kwa kamisheni.. kama anamzunguko wa Miamala mingi atapata hela nzuri.hivi hii kwa mwezi unaingiza shingap
Uwe unasuka mikeka,Asalaam wakuu.
KUfupisha uzi.
Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu).
Umri wangu 20's.
Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu.
Mwanzo niliwaza nijichange ninunue pikipiki ya boda nimpe mtu aniletee hesabu , sijui kwenu imekaaje hii?
Naombeni ushauri wenye manufaa wakuu.
fafanua zaidi mkuu, mkataba tunauwekajeUkiwa na kuanzia 5m njoo uwekeze kwenye biashara yangu
Nakupa faida ya 10% Kila baada ya miezi mitatu siku ukihitaji hela yako unanipa pia mieizi mitatu ya kuitoa kwenye mzunguko
Mkataba unakaa kisheria na wote tunaridhika ndipo tuna signfafanua zaidi mkuu, mkataba tunauwekaje
laki 5 nenda UTTAMIS tu, kawekeze kwenye hio mifuko ya kijamii, ukisema uweke kwenye biashara utapoteza sababu huna muda wa kusimamia hio biasharaAsalaam wakuu.