strawberry1
Member
- May 7, 2011
- 35
- 6
bila shaka ameshawahi kutuma post hapa jukwaani kuwa wewe huwa unamsumbua na zile simu zako unazopiga usiku wa manane
kwenye blue hapo dear,should we say anything more?Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.
Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.
Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii
Kubali uwe Nyumba Ndogo rasmi!
Mie nahisi kama nashambuliwa badala ya kusaidiwa, huyu mtu ni rafiki yangu wa kawaida, na ni mtu wangu wa karibu sasa ukiniambia niwe nyumba ndogo yake unanikosea na sina romantic attraction yeyote kwake. Sasa mtu kuomba ushauri ni dhambi jamani?
hayo unayoyasema kama yanakutoka moyoni basi jibu swali hili kwa uadilifu:Mie nahisi kama nashambuliwa badala ya kusaidiwa, huyu mtu ni rafiki yangu wa kawaida, na ni mtu wangu wa karibu sasa ukiniambia niwe nyumba ndogo yake unanikosea na sina romantic attraction yeyote kwake. Sasa mtu kuomba ushauri ni dhambi jamani?
hayo unayoyasema kama yanakutoka moyoni basi jibu swali hili kwa uadilifu:
Akisafiri kwanini una m miss?
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.
Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
hayo unayoyasema kama yanakutoka moyoni basi jibu swali hili kwa uadilifu:
Akisafiri kwanini una m miss?
Nyie nanyi mnashangaza...kwani ukimmiss mtu lazima uwe una mahusiano ya kimapenzi nae??!
Mi nawamiss dada zangu...kaka zangu...marafiki wa kike na wa kiume bila kutaka wala kua na mahusiano ya kimapenzi na yeyote kati yao!!
Pole mwaya kwa kummiss rafikiyo!Kama unataka urafiki wenu unoge jaribu uwe hata rafiki wa mkewe pia ili wote wawe marafiki zako na uwe huru nao wote.
Wewe, una miaka 29, halafu unaandika vitu utafikiri uko form 2...yaani tatizo unaliona (hapo kwenye blue) ..halafu bado unang'ang'ania..Acha kujidhalilisha
Ona hapa
Na kweli una matatizo...ndo maana hata unashindwa kudumisha mapenzi na b/f wako, lakini unataka kukaa na mume wa mtu....halafu unasema unaomba ushauri..? unataka tukushauri nini sasa?? Hili ni janga kabisa